บทที่ 3 · Jifunze Kichina: Hatua ya Kwanza
Familia yangu
Amani Odhiambo · 5 ต.ค. 2569 · 2.8K ครั้งที่อ่าน
Katika somo hili tutajifunza majina ya watu wa familia.
妈妈 (māma) ni mama. 爸爸 (bàba) ni baba.
哥哥 (gēge) ni kaka mkubwa, na 姐姐 (jiějie) ni dada mkubwa.
我爱我的家 (wǒ ài wǒ de jiā) maana yake ni "Ninaipenda familia yangu".
Zoezi: Chora picha ya familia yako na uandike jina la Kichina chini ya kila mtu.
ยังไม่มีความคิดเห็น เป็นคนแรกที่พูดคุยเกี่ยวกับเรื่องนี้